Maelezo

Sponsored

sw.wikipedia.org

Maelezo

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kipo katika manisipaa ya Morogoro nchini Tanzania. Ni chuo kikuu pekee cha kilimo nchini. Kilipewa jina kwa heshima ya mwanasiasa marehemu Edward Sokoine. Chuo hicho kilianzishwa mwaka 1984; kabla ya hapo kilikuwa chuo kikuu kishiriki cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam tangu mwaka 1970.

Engagement over time

Not enough history yet to show a trend.