Dhow Nature Foods

Lini Mara ya Mwisho Ulifanya Deworming?

Unajisikia tumbo haliko sawa mara kwa mara? Unapata gesi, unajihisi umevimba, unachoka bila sababu na wakati mwingine mmeng'enyo wa chakula hauko vizuri. Huenda ni wakati wa kuupa mwili wako nafasi ya kujisafisha. 🌿 Deworming Capsules husaidia ku-support usafi wa mfumo wa mmeng'enyo na afya ya utumbo kwa njia ya asili. ✅ Husaidia kusafisha mfumo wa mmeng'enyo ✅ Husaidia kuboresha mmeng'enyo wa chakula ✅ Husaidia kuongeza nguvu na uchangamfu ✅ Husaidia afya ya utumbo na ustawi wa mwili kwa ujumla TSH 20,000 (Vidonge 60) Nunua chupa 2 upate 10% OFF! • Dar es Salaam – TSH 3,000 • Mikoa yote Tanzania – Malipo kabla ya kutuma 📍 Tunapatikana: ITV Road, Mwenge, Dar es Salaam WhatsApp/Simu: 0746 941 903 Zanzibar: 0746 942 070

Engagement over time

Not enough history yet to show a trend.