sw.wikipedia.org has run 1 ad on Google Search that Ad Repository users have come across, first spotted on 18 Sept 2026 and most recently on 18 Sept 2026. 100% of the creatives are text-only ads. They were seen most in Kenya. On search, they appear for terms such as “cougar”.
Simba-milima au simba wa milimani ni paka mkubwa wa Amerika. Ni katika nusufamilia Felinae. Asili yake ni Amerika, kutoka Yukon ya Kanada kwenda Andes ya kusini ya Amerika ya Kusini. Ni pana zaidi ya mamalia yoyote ya mwitu katika nchi za Magharibi.